Back to top

Museveni kufanya ziara ya siku moja hapa nchini 13 Julai, 2019.

12 July 2019
Share

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kufanya ziara binafsi ya siku moja hapa nchini 13 Julai, 2019. 

Mhe. Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Akiwa Chato, Mhe. Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Mhe. Rais Magufuli.