Back to top

News

Serikali imetoa shilingi bilioni 5 ambazo ni fedha za dharura kwajili ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibika katika Mkoa wa Lindi, kufuatia mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha na kuleta athari katika maeneo mbalimbali hapa nchini.