Back to top

News

#HABARI: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemaliza mgogoro baina ya wamiliki wa Shamba la Sisal Estate na Wananchi 400 wa Kata ya Kwashemshi Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga uliodumu kwa zaidi ya miaka 30.