Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amepongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuleta maendeleo katika Jiji la Tanga na Tanzania kwa ujumla.