Back to top

News

Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali imejipanga kuhakikisha wakulima wanalima kwa tija mwaka mzima kwa kuwekeza katika miradi mikubwa ya umwagiliaji, ikiwemo Bwawa la Mkomazi ambalo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 70 za maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.