Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu..........