Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mh. Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali, zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii.