Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Morogoro kuanzia Julai 05, 2024.
Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiani Jamila Mbarouk imesema ongezeko la safari litahusisha pia kuanza kwa treni mpya ya haraka (Express Train).