Back to top

Waendesha bodaboda na bajaji watawanywa kwa mabomu ya machozi Posta

10 June 2019
Share

Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya  waendesha  boda boda na bajaji wanaofanya shughuli zao Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa Tower baada ya uongozi  kuwataka kuondoka katika maeneo hayo kwa madai kuwa hawaruhusiwi huku waendesha bodaboda na bajaji wakipinga hatua hiyo.