Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa Dokta.Salhina Amour ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu wizara ya afya serikali ya mapinduzi Zanzibar kuchukua fomu kama hiyo kuomba kuteuliwa kugombea nafasi hiyo.
CCM ilifungua milango kwa wanaoomba nafasi ya uteuzi kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri na Zanzbar kuanza kuchukua fomu na kutafuta wadhamini ambapo mwisho ni June 30.