Serikari ya Tanzania imetiliana saini ya makubaliano na kampuni ya Dangote ambapo sasa kampuni hiyo itaweza kutumia gesi katika kuzalisha umeme na pia katika kiwanda chake cha saruji cha Mtwara.
Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shiriki la Petrol Tanzania TPDC Mhandisi kapuulya Musomba amesema mkataba huyo utadumu kwa muda wa miaka 20 na unategemewa kunufaisha pande zote mbili.
.