Licha ya ushindi wa Juventus wa bao 3-2 hapo jana dhidi ya FC Porto bado qametolewa kwenye michuano ya Ulaya UEFA Champions League.
.
Juventus wametolewa kwa matokeo ya bao la ugenini baada ya jumla ya matokeo yao katika mechi na Porto ni sare ya bao 4-4 na Porto wakiongoza kwa kuwa na mabao 2 ya ugenini.
.
Juventus sasa wanatolewa na kushindwa kutimiza malengo yao ya kutwaa UEFA tangu mwaka 1996.