Shule ya msingi Kigoda ,iliyopo wilayani Handeni, mkoani Tanga, inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vyumba vya madarasa na nyumba za walimu, huku walimu waliopo katika shule hiyo wakidai kuwa, baadhi ya vyumba vya madarasa havijafanyiwa ukarabati tangu shule hiyo izinduliwe mwaka 1999.