Zaidi ya nyumba 138 zimebomoka na watu 139 kukosa makazi katika Kijiji Cha Kipwa wilayani Kalambo mkoani Rukwa baada maji ya Ziwa Tanganyika kuzingira makazi yao huku wahanga wakihifadhiwa kwa ndugu ,jamaa na majirani. Share