Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la Precision Air, Patrick Mwanri amesema Shirika hilo limeanza mchakato wa kulipa fidia, kwa familia za walioathirika katika ajali ya Ndege ya shirika hilo iliyotokea Jumapili Novemba 06, 2022, ambapo amebainisha kuwa mchakato huo utakuwa ni wa siri kati ya Shirika hilo na waathirika na utafanyika kwa umakini mkubwa. Picha/Mtandao