
PICHA_NA_MAKTABA
Jeshi la polisi mkoa wa Katavi limekamata mtambo wa kutengeneza magobore zikiwemo gobore sita katika kijiji cha Busongola kata ya Bulamata wilaya ya Tanganyika.
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi wa polisi Benjamin Kuzaga amesema mtuhumiwa huyo pia alikamatwa na ngozi ya nyati.