Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya uchunguzi maalum wa fedha zilizotoka Benki Kuu ya Tanzania kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu.
Taarifa hiyo inatokana na agizo alilolitoa Mhe.Rais Samia tarehe Machi 2021 wakati akipokea taarifa ya CAG kwa mwaka 2019/2020.
Katika taarifa hiyo CAG Kichere amesema katika ukaguzi uliofanyika umebaini kuwa fedha zilizotolewa BOT katika kipindi hicho zilifuata taratibu zote, isipokuwa baadhi ya malipo yalikuwa yanatoka Hazina Kuu kwenda katika Taasisi mbalimbali za serikali yalibainika kuwa na mapungufu.
Zaidi Bofya hapa kwenye link kufahamu zaidi.