Back to top

Ripoti ya CAG Zanzibar, Boss ZAECA ajiuzulu

02 September 2022
Share

Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), ACP Ahmed Khamis Makarani.
.
Hatua hiyo inafuata maelekezo ya Mhe. Rais Hussein Mwinyi kuitaka Mamlaka hiyo ijitathmini, baada ya hivi karibuni kupokea ripoti ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).