Back to top

TMA yasaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za hali ya hewa.

01 April 2019
Share


Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania(TMA) imesaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za hali ya hewa zitakazofungwa Mbeya na Kigoma na hivyo kuifanya Tanzania kuwa na mtandao wa rada tano.
 
Zoezi hilo limeshuhudiwa na Naibu  Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh.Atashasta Nditiye jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi kukujia