Back to top

Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma.

20 July 2020
Share

1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

2.Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii 

3.Mhandisi Anthony Sanga,kuwa katibu Mkuu, Wizara ya Maji

4.Dkt. Seif Shekilage, kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe

5.Dkt. Allan Kijazi, Kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii

6.Mhandisi Nadhifa Kemikimba, kuwa Naibu katibu Mkuu, Wizara ya Maji

7 Dkt. Mwinyi Talib Haji, kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

*Kushuhudia Uapisho wa Wakuu wa Wilaya za Ilala, Maswa, Kalambo,Rombo na Geita

*Kushuhudia Viapo vya Maadili vya Viongozi walioapishwa pamoja na Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri walioteuliwa

Eneo: Viwanja vya Ikulu Chamwino- Dodoma Ratiba inaanza saa 4:00 Asubuhi.