Back to top

TFF yaja na tuzo mpya za makocha Ligi Kuu.

04 October 2018
Share

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Bw.Mwinyi Zahera ameibuka mshindi wa tuzo ya mwezi ya kocha bora na kuwashinda Bakari Shime wa JKT Tanzania na Zubeir Katwila wa Mtibwa Sugar,huku Bw.Amri Said Kocha mkuu wa klabu ya Mbao akipata tuzo ya kocha bora mwezi wa nane.

Aidha Tuzo hizo zimeenda sambamba na utoaji tuzo kwa mchezaji bora wa mwezi wa tisa huku tuzo hiyo ikichukulia na eliud Ambokile wa klabu ya Mbao akiwashinda Ibrahimu Ajib wa Yanga na Stamiri Mbonde wa Mtibwa Sugar.