Back to top

Mchakato wa ulipaji fidia ajali ya Precision Air, waanza

14 November 2022
Share

Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la Precision Air, Patrick Mwanri amesema Shirika hilo limeanza mchakato wa kulipa fidia, kwa familia za walioathirika katika ajali ya Ndege ya shirika hilo iliyotokea Jumapili Novemba 06, 2022, ambapo amebainisha kuwa mchakato huo utakuwa ni wa siri kati ya Shirika hilo na waathirika na utafanyika kwa umakini mkubwa. Picha/Mtandao