Back to top

YANGA YACHUKUA NA SHIRIKISHO

12 June 2023
Share

Timu ya Yanga SC imefanikiwa kuchukua kombe la Shirikisho baada ya kuichapa timu ya Azam FC goli 1-0, lililofungwa na Musonda Dakika ya 14.
.
Ushindi huo unaifanya Yanga kuwa mabingwa wa mashindano hayo kwa mara ya pili mfululizo.