PICHA: Timu ya Singida Fontain Gate imetambulisha basi lake jipya aina ya Yutong ililopewa na mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
.
Basi hilo limekabidhiwa katika hafla ya Singida Big Day inayofanyika leo Agosti 02, 2023, katika uwanja wa CCM uliopo Singida mjini.