Back to top

MAHAKAMA YAKATAA KUPOKEA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA MAHABUSU.

11 November 2021
Share

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imekataa kupokea kitabu cha kumbumbuku za Mahabusu, chenye taarifa zinazodai kuwa Mohammed Ling'wenya, mshtakiwa wa tatu kinachothibitisha aliojiwa katika Kituo Kikuu Cha Polisi Dar es Salaam kwa maelezo kuwa upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha utaratibu mzima uliotumika hadi kitabu hicho kumfikia shaidi huyo na namna alivyokitunza kutoka Mahakamani hapo na kukiwasilisha kama ushahidi.