Back to top

MATUMIZI DAWA ZA KULEVYA: Masogange ahukumiwa kwenda jela ama faini.

03 April 2018
Share

Mpamba video maarufu Agnes Gerald maarufu (MASOGANGE) aliyejifunika kanga hapo amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya shilingi Mil 1.5 baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya matumizi ya dawa za kulevya.

Hukumu hiyo imesomwa na hakimu mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijinj Dar es Salaam Willbard Mashauri ambapo amesema rufaa iko wazi kwa Agnes.