Watoto zaidi ya 2000 wakatisha masomo kwa ujauzito Mkoani Ruvuma katika kipindi cha mwaka 2017/18.
Kutokana na hali mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi.Christina Mndeme amewaagiza wenyeviti wa vijiji kuwachukulia hatua wanaume wanaowapa mimba watoto wadogo huku wananchi wa eneo hilo wakiomba serikali kulivalia njuga suala hilo kuwaokoa watoto wa kike.