Back to top

Mlima Kitonga mkoani Iringa kilele kwa ajali

18 June 2019
Share

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Juma Bwire ameyataja maeneo hatarishi mkoani Iringa ambayo yamekuwa na ajali za mara kwa mara kuwa pamoja na mlima Kitonga, mlima Nyang'oro na Nyololo wilayani Mufindi.

Aidha  kamanda Bwire amesema ajali za barabarani zimepungua kwa asilimia 46.03  huku mwaka 2017 kukiwa na ajali 95 na mwaka 2018 ajali 51