Back to top

Mwafrika wa kwanza kuugua Corona na kupona.

17 February 2020
Share

Raia wa Cameroon Kem Senou Pavel Daryl mwenye umri wa miaka 21 ambaye ni mwanafunzi anayeishi katika mji wa Jingzhou ni mwafrika wa kwanza kuambukizwa virusi vya Corona China.

Kem ni mtu wa kwanza mwenye asili ya kiafrika aliyepona baada ya kuambukizwa na virusi hatari vya corona. 

Kwa siku 13 alitengwa katika hospitali moja nchini China.