Back to top

Lukuvi kukutana na Madalali Disemba 13, 2021.

21 November 2021
Share

Baada ya Waziri wa Ardhi, Mh. William Lukuvi kutoa agizo la kuwazuia Madalali wa nyumba kuchukua kodi ya mwezi mmoja kwa wapangaji badala yake pesa hizo walipwe na wenye nyumba.
.
Lukuvi ametoa kauli hiyo wakati akizungumzia mafanikio ya Wizara hiyo kwa miaka 60 ya Uhuru ambapo amewaalika Madalali wote wakutane naye Disemba 13, 2021 kwenye kitovu cha madalali ili azungumze nao na kusisitiza kuwa atasoma mwongozo wa Wizara wa namna ya kusimamia shughuli za madalali.