CAF YAIONDOA BIASHARA MASHINDANO KOMBE LA SHIRIKISHO.
03 November 2021
Share
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya.