![](https://www.itv.co.tz/sites/default/files/styles/large/public/field/image/we.jpg?itok=LZKTpZ8r)
Wizara ya afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wengine saba wapya wa virusi vya Corona.
Wagonjwa hao wote ni Raia wa Tanzania na wametokea Unguja.
Jumla ya wagonjwa 36 wameruhusiwa kwenda nyumbani na wameendelea kushauriwa kubaki katika nyumba zao kwa siku 14 huku wataalamu wa afya wakiendelea kuwafuatilia kwa karibu.