Timu ya Yanga SC imefanikiwa kuchukua kombe la Shirikisho baada ya kuichapa timu ya Azam FC goli 1-0, lililofungwa na Musonda Dakika ya 14..Ushindi huo unaifanya Yanga kuwa mabingwa wa mashindano hayo kwa mara ya pili mfululizo. Share