Back to top

Meli kubwa yatia nanga Bandari ya DSM

08 April 2022
Share

Bandari ya Dar es Salaam imeweka rekodi ya kupokea meli yenye urefu wa mita 189.45 ikitokea nchini Japan, ikiwa na shehena ya magari 4,041 huku magari 1,105 yakibaki Tanzania ambapo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof.Makame Mbarawa ameziagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuanza kutumia Bandari za nchi kavu zinazokidhi vigezo ili kupunguza msongamano wa magari bandarini.