Back to top

LIFTI KUPOROMOKA NI UZEMBE WA UONGOZI WA JENGO

24 May 2023
Share

Askari wa Zimamoto na Uokoaji Assintant Inspector Mohammed kutoka Kinondoni amesema chanzo cha lifti ya jengo la Millenium Tower lililopo eneo la Makumbusho, imetokana na kubeba watu zaidi ya uzito unaoruhusiwa, na kwamba ni makosa ya Uongozi wa jengo hilo lenye ghorofa 25, kufanya majaribio ya lift kukiwa na watu ndani bali walitakiwa kuweka kitu chochote chenye uzito ndani ya lifti ndio waifanyie majaribio.