Arsenal huenda wasicheze #UCL msimu ujao baada ya kufungwa mabao 2-0 na Newcastle United katika #EPL Arsenal wako nafasi ya 5 wakiwa na alama 66 juu yao wakiwa Tottenham na alama 68 huku wakiwa wamesaliwa na mechi moja tu ligi ifikie tamati. Share