Rais Dkt John Magufuli amteua Kamishna Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, amwapisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Kabla ya uteuzi huo Kamishna Diwani alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU. Diwani Athumani - Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Share