Back to top

MABORESHO YA LUKU KANDA YA KATI, KUANZA AGOSTI 26.

19 August 2024
Share

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuanza rasmi zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU kwa wateja wa mikoa ya Kanda ya Kati na Kanda Kaskazini 26 Agosti, 2024.

Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Bi. Irene Gowelle, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.