#HABARI: Tanzania na Burundi zimetiliana saini ya makubaliano ya uimarishaji mpaka wa Kimataifa baina ya nchi hizo.
Makubaliano hayo yamefikiwa mara baada ya kukamilika kwa Kikao cha Kamati ya Pamoja cha Wataalamu (JTC) kati ya Tanzania na Burundi kilichofanyia kwa siku tano mkoani Kigoma.